Kenyans Live

LSK yawataka wanachama kususia vikao vya mahakama

Description (show more)

Chama cha wanasheria nchini (LSK)kimeagiza wanachama wake kuendelea na mgomo dhidi ya mahakama hadi pale watakapotangaziwa kuusitisha. Akitoa agizo hilo nje ya jengo la mahakama ya Kisumu, rais wa chama hicho Charles Kanjama alisema mgomo huo ulikuwa ni hatua ya kutaka uwajibikaji katika idara ya mahakama, kikishutumu yamkini majaji 15 na mahakimu miongoni mwa maafisa wengine wa idara ya mahakama kwa utovu wa nidhamu. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive

Share: