Kenyans Live

Viongozi wa kiislamu wataka amani kudumishwa kote nchini

Description (show more)

Viongozi wa dini ya kiislamu kaskazini mwa bonde la ufa, wameelezea wasiwasi wao kuhusu siasa za migawanyiko ziazozidi kushamiri katika mikutano ya kisiasa ,na kutoa wito wa amani taifa linapoelekea uchaguzi mkuu wa mwaka ujao. Wito huo umetolewa katika sherehe za maulidi za kuadhimisha kuzaliwa kwa mtume mohammed zilizoandaliwa jijini eldoret.

Share: