Mzozo wa polisi na wenyeji Lolgorian waua mtu mmoja, wajeruhi kadhaa
Description (show more)
Hofu imeendelea kutanda katika eneo la Lolgorian, Transmara Kusini, kaunti ya Narok, baada ya vurumai kuzuka kati ya maafisa wa polisi na wenyeji. Makabiliano hayo yamesababisha kifo cha mtu mmoja, huku wengine kadhaa, wakiwemo maafisa sita wa polisi, wakijeruhiwa. Zogo hilo la Ijumaa lilizuka kufuatia kukamatwa kwa wachimba dhahabu katika eneo la Mlima Kilima Pesa. Chrispine Otieno ana taarifa zaidi kutoka Narok.
Related Videos
More from Citizen TV Kenya
3:21:00LIVE: Good Morning Kenya II 3rd November 2026 II www.kbc.co.ke
· 3.2K views
11:54:59Citizen TV Live:
· 963.5K views
1:16:18🔴LIVE || TV47 Saa Tano
· 812 views
22:31LIVE: Kurunzi Mashinani naye Sheila Yogo II 3rd November 2026 II www.kbc.co.ke
· 504 views
1:01:45LIVE: Lunchtime News with Ben Troy Njue II 3rd November 2026 II www.kbc.co.ke
· 1.1K views
30:11🔴LIVE || TV47 News @1pm with Wakio Mzenge
· 1.1K views
20:42LIVE: Tamrini naye Sheila Yogo II 3rd November 2026 II www.kbc.co.ke
· 454 views
1:01:11LIVE: Prime Edition with Muchuma Odim II 3rd November 2026 II www.kbc.co.ke
· 1.9K views
