Kenyans Live

Naibu rais Kithure Kindiki akosoa upinzani, asema serikali inatekeleza ahadi

Description (show more)

Naibu Rais Profesa Kithure Kindiki amewashambulia viongozi wa upinzani kwa ukosoaji wanaoufanya dhidi ya serikali ya Kenya Kwanza, akiwatuhumu kwamba wao wana nia ya kuzuia miradi ya maendeleo ya taifa.

Share: