Kenyans Live

Majangili Waacha Uwindaji Haramu na Kugeukia Ufugaji wa Samaki

Description (show more)

Baadhi ya waliokuwa wakijihusisha na uwindaji haramu katika Mbuga ya Tsavo, Taita Taveta, sasa wamegeukia ufugaji wa samaki. Wakazi wengi wa Bura, Mwatate, pia wameanza kufuga samaki kama njia ya kujipatia riziki.

Share: