Kenyans Live

Kapenguria: Baadhi ya Familia zadai nyumba zao zilibomolewa katika operesheni dhidi ya pombe haramu

Description (show more)

Familia za kipato cha chini katika mtaa wa Mabanda, Kapenguria, zinakabiliwa na hali ngumu ya maisha, huku wajane wakihangaika kupata chakula na makazi. Baadhi ya waathiriwa wanadai nyumba zao zilibomolewa na maafisa wa usalama katika operesheni dhidi ya pombe haramu, na sasa wanaiomba serikali kuwasaidia. Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows. Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya

Share:

Related Videos

More from NTV Kenya