Kenyans Live

Mombasa United yaanza mchujo wa KPL kwa ushindi wa 2-1 dhidi ya Kariobangi Sharks

Description (show more)

Timu ya Mombasa United imepata ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Kariobangi Sharks katika mchujo wa Ligi Kuu ya Kenya (KPL), kwenye mechi ya mkondo wa kwanza iliyochezwa katika Uwanja wa Mbaraki, Mombasa.

Share: