Mizoga ya Dik Dik, Impala na Kanga yanaswa Lamu
Description (show more)
Maafisa wa shirika la huduma kwa misitu wamepata mizoga 20 ya swara aina ya dik dik na mingine 15 ya impala katika kijiji cha Komorjila, kaunti ya Tana River wakati wa operesheni inayolenga kukomesha uwindaji haramu. Mlinzi mkuu wa wanyama pori katika kaunti hiyo Bakari George amesema walipokea taarifa kutoka kwa umma kuhusu shughuli za uwindaji haramu ambapo walifika mahali hapo na kupata pikipiki iliyokuwa imebeba mizoga hiyo pamoja na ile ya kanga pamoja na silaha mbalimbali. Washukiwa walikwepa na kwenda mafichoni. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive
Related Videos
More from KBC Channel 1
1:54Gavana Nyong’o awamulika wanaomezea mate ardhi ya bustani ya Baby Pendo
1:24Sakaja: Raila told me to join ODM
21:06Sammy Melly Aangazia Kurunzi Kwa Taifa I Tamrini
2:54Oparanya says UDA, ODM will negotiate way forward before 2027 polls
1:14Macrine Kalombo, Kenyan, has won her 100-meter freestyle heat
55:15KTN NEWSDESK || 2ND NOVEMBER 2026
3:01Over 3,000 Youths Join Police in Mukuru Sports Drive to Promote Peace Ahead of 2027
1:15