Maseneta wataka kaunti zipewe nafasi katika usimamizi wa hifadhi za vivutio vya utalii
Description (show more)
Baadhi ya maseneta wameitaka serikali ya kitaifa kuweka mfumo maalum wa kisheria Utakaoruhusu baadhi ya hifadhi za taifa na maeneo ya vivutio vya utalii kama marine park kusimamiwa na serikali za kaunti. Seneta wa kilifi Stewart madzayo na mwakilishi wadi wa shella twahir Abdulkarim wamesema wakati umefika ambapo serikali ya kitaifa inapaswa kuipa nafasi serikali ya kaunti ya kilifi mamlaka ya kuchukua usimamizi wa rasilimali hizo kama kaunti za narok na ile ya kajiado.
Related Videos
More from Citizen TV Kenya
2:06Peter Mijungu: Ng'ur ok ber kendo ok rach
2:02
2:28Wakazi wapokea miundombinu ya umeme Bomwagamo
5:36
1:50Serikali waimarisha usalama wa watahiniwa wa KCSE 2026
· 4 views
6:06Peter Mijungu: 'Empowerment' ma loko ngima en mar ochumi
· 1 views
2:46Kioni warns opposition against internal feuds ahead of 2027 elections
· 28 views
1:43Waiguru signals interest in Deputy President's seat
· 11 views
