Walionusurika kwenye vifusi vya jumba Eastleigh wasimulia miujiza ya kuokolewa
Description (show more)
Walionusurika baada ya kukwama kwa zaidi ya saa 30 kwenye vifusi vya jumba lililoporomoka wanasema kuokolewa kwao ni muujiza wanaopaswa kuushukuru. Zeynab Mohammed na Victor Onyango, waliookolewa kutoka kwenye mkasa wa jumba lililoporomoka Ijumaa mtaani Eastleigh, jijini Nairobi, wamesimulia walivyopitia hali hiyo ngumu. Wawili hao walizungumza na runinga ya Citizen huku familia zaidi zikiendelea kusubiri kwa hamu kupata taarifa kuhusu hatima ya jamaa zao walionasa kwenye vifusi. Serfine Achieng' Ouma anatupasha zaidi.
Related Videos
More from Citizen TV Kenya
3:39CPA Evans Ogutu: Kaka duond bura mar ODM, wan gi ji ma nyaka waor e sirkal.
55:50Youth & Politics:
· 1 views
3:57Mtihani wa kitaifa wa KCSE wang'oa nanga West Pokot
· 3 views
1:46:27Ũteti na Ũtongoria wa Bũrũri #Kĩmũrĩ
· 3 views
2:40Kenya Yatuma Vikosi 13 Dakar, Baseball5 Yafuzu Nusu Fainali
· 4 views
34:49| UKUMBI | Siasa za kiti cha urais [Part 1]
· 42 views
1:44Zaidi ya watahiniwa 7000 Turkana wafanya mtihani wa KCSE
20:03| UKUMBI | Siasa za kiti cha urais [Part 3]
· 26 views
