Kenyans Live

Polisi Makueni wachunguza madai ya hongo na unyanyasaji wa kingono Konza

Description (show more)

Kamishna wa Makueni Abdulahi khalif amesema polisi wanachunguza madai ya watu kuitishwa hongo na unyanyasaji wa kingono wanapotafuta kazi katika mji wa kisasa wa Konza. Akizungumza wakati wa maadhimisho ya mashujaa dei, kamishna huyo alisema watakaopatikana na hatia watachukuliwa hatua za kisheria.

Share: