Kenyans Live

Harambee Starlets U17 yafuzu hatua ya mchujo ya Kombe la Dunia

Description (show more)

Timu ya taifa ya kandanda ya wasichana wasiozidi umri wa miaka 17 imefuzu kwa raundi ya mchujo ya Kombe la Dunia nchini Morocco baada ya kuishinda Samoa mabao 4-0. Kenya ilimaliza miongoni mwa timu bora zilizoshika nafasi ya tatu katika hatua ya makundi, na sasa itamenyana na Japan, iliyomaliza kileleni mwa kundi D, kuwania nafasi ya kusonga mbele.

Share: