Kenyans Live

Kupanda kwa bei ya mafuta kwazidisha gharama ya maisha, matatu Mombasa yapandisha nauli

Description (show more)

Kupanda kwa bei ya mafuta kunazidi kuwatatiza wananchi wengi, huku wahudumu wa matatu katika kaunti ya Mombasa tayari wakipandisha nauli, nao wananchi wanaotumia mafuta taa wakihangaika zaidi. Wanasema nyongeza ya zaidi ya shilingi 28 inawalazimisha kuanza kutumia kuni kupika. Wakenya wenye mapato ya chini tayari wanasema kuwa gharama ya maisha iko juu na nyongeza hii itafanya maisha kuwa magumu zaidi.

Share: