Kenyans Live

Kaunti zahimizwa kuwekeza katika afya ya uzazi zaidi kuzuia maafa

Description (show more)

Teknolojia inaongoza juhudi za  Kenya katika vita dhidi ya vifo vya kina mama wajawazito na watoto wachanga wanaozaliwa. Magavana wamehimizwa  kuwekeza pakubwa katika teknolojia ya matibabu  katika juhudi za kuunganisha hospitali za kaunti na madaktari maalum huku ufanisi wa taifa katika kupunguza vifo vinavyoweza kuzuiwa  ukimulikwa katika makala ya 81 ya kongamano kuu la umoja wa mataifa-UNGA, jijini New York, Marekani. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive

Share: