Kenyans Live

Wakulima wa majani chai Bomet waanza kung’oa michai kutokana na bonasi ya chini

Description (show more)

Baadhi ya wakulima wa majani chai kutoka kiwanda cha Kapkoros kaunti ya bomet wameanza kung'oa michai yao kwa sababu ya malipo ya chini ya bonasi mwaka huu...

Share: