Kenyans Live

Walimu kakika kaunti ya Nandi wakosoa kamati ya kutambua na kuwatuza walimu bora

Description (show more)

Saa chache baada ya maelfu ya Walimu nchini kuadhimisha Siku ya Walimu Duniani, siku iliyotengwa kutambua nafasi muhimu inayotekelezwa na walimu katika kuijenga jamii na kuimarisha mustakabali wa wanafunzi, baadhi ya walimu katika Kaunti ya Nandi kupitia Muungano wa KUPPET, wamekosoa kamati inayohusika na kutambua na kuwatuza walimu waliofanya vyema kwa madai ya kuwatenga walimu kutoka kaunti hiyo.

Share:
#iNooroTVLive11:54:58

#iNooroTVLive

Inooro TVVernacular
· 102K views