Museveni afafanua msimamo kuhusu mpango wa G-to-G wa mafuta
Description (show more)
Hayo yakijiri, Rais wa Uganda Yoweri Museveni amebadili msimamo wake kuhusu mpango wa uagizaji mafuta wa G-to-G, akisema matamshi yake ya awali yalihusu mpango uliokuwepo kabla ya Serikali ya Rais William Ruto. Rais Museveni pia amemshukuru Rais Ruto kwa kupunguza bei ya mafuta yanayoagizwa kutoka mataifa ya Ghuba ikilinganishwa na ilivyokuwa awali, kama Seth Olale anavyoripoti.
Related Videos
More from Citizen TV Kenya
1:11:33
1:47NGERO NA MBAARA CIA ŨKINYANĨRIA WA KIRIU
· 1 views
1:28
2:04Raga | Rising Lionesses waandikisha historia baada ya kushinda medali ya dhahabu
· 1 views
3:41Ruto: Those who can provide internships for young people, we will net off 100% from your taxes
· 1 views
1:28Kenya na Uholanzi zimezindua mipango ya maendeleo
· 1 views
1:44Akenya kũrio mathingate mawatho ma barabara nĩgetha kũnyihanyihia mĩtino
· 3 views
2:04