Kenyans Live

Kapu la Biashara | Quickmart yaorodheshwa kwenye soko la hisa la Nairobi

Description (show more)

Ipo haja ya kuafikia uwiano baina ya kudhibiti teknolojia zinazochipuza na kubuni mazingira yanayofanikisha ubunifu wa kidijitali. Washiriki wa kongamano la kikanda la udhibiti wa teknolojia ya mawasiliano ya habari, jijini Nairobi walisema kuwa ukuaji wa haraka wa teknolojia unazua changamoto mpya za udhibiti na hivyo ipo haja ya ushirikiano ili kubuni suluhu kwa changamoto sawa kwa njia huru. Kwa hizi na habari nyingine huu hapa ni mkusanyiko wa taaarifa zetu za biashara. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive

Share: