Kenyans Live

Joto jingi lachangia ongezeko la magonjwa ya macho Kaskazini Mashariki

Description (show more)

Wataalamu wa macho wametaja viwango vya juu vya joto katika eneo la Kaskazini Mashariki kama sababu kuu inayochangia kuongezeka kwa matatizo ya macho miongoni mwa wakazi.

Share: