Ruto awaonya wapinzani kuhusu mradi wa Dangote
Description (show more)
Rais William Ruto amewaonya viongozi wa upinzani dhidi ya kuwatumia vibaya wakazi wa Lamu kwa lengo la kuhujumu ujenzi wa kampuni ya kusafisha mafuta inayohusishwa na mfanyabiashara Aliko Dangote. Rais Ruto amewataja wapinzani wanaopinga mradi huo kuwa matapeli wenye ubinafsi, akiwakosoa kwa kuwasilisha kesi mahakamani kupinga utekelezaji wake. Rais Ruto amesema juhudi za kusambaratisha mradi huo zitaambulia patupu.
Related Videos
More from Citizen TV Kenya
3:21:00LIVE: Good Morning Kenya II 3rd November 2026 II www.kbc.co.ke
· 3.2K views
11:54:59Citizen TV Live:
· 964K views
1:16:18🔴LIVE || TV47 Saa Tano
· 813 views
22:31LIVE: Kurunzi Mashinani naye Sheila Yogo II 3rd November 2026 II www.kbc.co.ke
· 505 views
1:01:45LIVE: Lunchtime News with Ben Troy Njue II 3rd November 2026 II www.kbc.co.ke
· 1.1K views
30:11🔴LIVE || TV47 News @1pm with Wakio Mzenge
· 1.1K views
20:42LIVE: Tamrini naye Sheila Yogo II 3rd November 2026 II www.kbc.co.ke
· 455 views
1:01:11LIVE: Prime Edition with Muchuma Odim II 3rd November 2026 II www.kbc.co.ke
· 1.9K views
