Kenyans Live

Wakazi wa Murang'a wataka JSS zipewe uhuru wa kujisimamia

Description (show more)

Wakazi wa Murang'a wametoa maoni kuhusu miswada ya sekta ya elimu. Wametaka shule za Junior Secondary School zipate uhuru zaidi wa kujisimamia.

Share: