Kenyans Live

Wakazi wa Mbololo kaunti ya Taita Taveta wateseka kwa ukosefu wa maji kwa zaidi ya mwaka mmoja

Description (show more)

Wakazi wa Mbololo eneo bunge la Voi kaunti ya Taita Taveta wanaendelea kutaabika kufuatia ukosefu wa maji kwa zaidi ya mwaka mmoja.

Share: