Kenyans Live

Watu wawili hawajulikani waliko baada ya mgodi kuporomoka Migori

Description (show more)

Watu wawili hawajulikani waliko baada ya migodi ya dhahabu kuporomoka katika eneo la Matanda, Kaunti ya Migori. Baadhi ya wakazi wanadai kuwa kulikuwa na nyufa kwenye kuta za baadhi ya migodi hiyo. Na kama anavyoarifu Laura Otieno, janga hilo limeibua tena masuala mazito kuhusu usalama wa wachimba migodi wadogo, hasa katika msimu huu wa mvua.

Share: