Kenyans Live

Ofisi ya ODPP yatupilia mbali kesi dhidi ya maafisa wawili wa polisi Nairobi

Description (show more)

ofisi ya Mkurugenzi mkuu wa mashtaka ya umma ODPP imetupilia mbali kesi dhidi ya maafisa wawili wa polisi waliodaiwa kuhusika katika uhalifu wa wizi wa kimabavu, ulaghai na visa kadhaa vya uhalifu hapa Nairobi.

Share: