Kenyans Live

Ifahamu China: Usafirishaji Bidhaa

Description (show more)

China imejenga mfumo wa uagizaji bidhaa unaounganisha usafirishaji wa baharini, nchi kavu na angani, ukipigwa jeki na huduma bora za usafirishaji na taratibu za haraka kwenye idara ya forodha. Kuanzia Januari hadi Julai, thamani ya bidhaa zilizoagizwa nchini China ilifikia yuan trilioni 12.69 ambazo ni takribani dola trilioni 1.89 za Marekani, likiwa ni ongezeko la asilimia 22 ikilinganishwa na kipindi sawia mwaka uliopita. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive

Share: