Jaji Mkuu Martha Koome ataka fedha zaidi kwa maandalizi ya kesi za uchaguzi mkuu
Description (show more)
Idara ya mahakama imeelezea wasiwasi wake kuhusu matayarisho ya uchaguzi mkuu kutokana na changamoto za kifedha . Akizungumza huko shanzu jijini mombasa, jaji mkuu martha koome amedokeza kuwa ameliandikia bunge barua akitaka idara hiyo iongezewe fedha ili kujiandaa kikamilifu kwa kesi za uchaguzi mkuu. Aidha, koome ameeleza kuwa idara ya mahakama iko tayari kuamua kesi na migogoro ya uchaguzi kwa njia ya haki.
Related Videos
More from Citizen TV Kenya
23:56🔴LIVE || TV47 News @ 1 P.M With Martin Githinji
· 793 views
34:38LIVE:Lunchtime News with Giverson Maina II 1st November 2026 II www.kbc.co.ke
· 931 views
1:24:28LIVE: Sunday Service from All Saints Cathedral II 1st November 2026 II www.kbc.co.ke
· 1.1K views
1:44:23Jubilee presidential hopeful Fred Matiang'i outlines his road to State House
· 2.3K views
49:45SUNDAY LIVE | IN THE HOUSE OF DCP | PART 2
· 7.6K views
4:12LIVE: Sunday Express II 1st November 2026 II www.kbc.co.ke
· 199 views
4:44Rivers in Athi basin bear brunt of pollution asindustrial waste is discharged into rivers
· 668 views
2:17Kenyan truck drivers decry harassment at border points over Ebola concerns
· 957 views
