Kenyans Live

Jamii Lamu yataka fidia kabla ya mradi wa kiwanda cha Dangote

Description (show more)

Huku zikiwa zimesalia chini ya saa 24 kabla ya kuwekwa kwa jiwe la msingi kwa mradi wa kiwanda cha kusafisha mafuta cha Dangote, jamii za wafugaji na wakulima katika Kaunti ya Lamu zimeitaka serikali kuhakikisha zinalipwa fidia kabla ya mradi huo kuanza.

Share: