Kenyans Live

Watu 16 bado hawajulikani waliko baada ya jumba kuporomoka Eastleigh

Description (show more)

Siku sita baada ya jumba kuporomoka mtaani Eastleigh, watu 16 bado hawajulikani waliko, huku familia zao zikilalamikia kile wanachosema ni kucheleweshwa kwa juhudi za kuwaokoa. Licha ya mashine maalum kuashiria uwezekano wa kuwepo kwa watu wawili walio hai chini ya vifusi, waokoaji wanasema hawajaweza kuwafikia.

Share: