Kenyans Live

Mzozo waibuka eneo la Nyatike baada ya hospitali ya rufaa kuhamishiwa Awendo

Description (show more)

Mzozo unatokota kati ya Serikali ya kaunti ya Migori na wakazi wa kaunti ndogo ya Nyatike baada ujenzi wa hospitali ya rufaa iliyopangiwa kujengwa eneo hilo kuhamishiwa katika eneo la Awendo.

Share: