Viongozi wa kisiasa waweka tofauti kando kumwomboleza babake Martha Karua
Description (show more)
Viongozi wameweka tofauti zao za kisiasa kando na kumwomboleza marehemu Mwalimu Jackson Karua, baba wa kinara wa People’s Liberation Party, Martha Karua. Upande wa upinzani, ukiongozwa na Seneta Edwin Sifuna, umesema utaendelea kupigania mabadiliko ambayo umesema Wakenya wanayatarajia. Kwa upande wake, Martha Karua amemwomboleza babake, akimtaja kama mzazi aliyemlea kwa misingi ya maadili na kuchangia katika kumjenga kuwa kiongozi mwenye misimamo thabiti.
Related Videos
More from Citizen TV Kenya
29:18LIVE | GASET KAWUONO | 4/11/2026
56:29Gachagua Ajenga Akibomoa? | Magazetini #FixingTheNationNTV
· 44 views

LIVE | #RAMOGITVLIVE
3:21:00LIVE: Good Morning Kenya II 3rd November 2026 II www.kbc.co.ke
· 3.2K views
11:54:59Citizen TV Live:
· 965K views
1:16:18🔴LIVE || TV47 Saa Tano
· 819 views
22:31LIVE: Kurunzi Mashinani naye Sheila Yogo II 3rd November 2026 II www.kbc.co.ke
· 506 views
2:29Kenya women’s rugby team clinches historic Youth Olympic gold
· 941 views
