Kenyans Live

Viongozi Nyamira wazipa serikali mzigo wa karo ya wanafunzi

Description (show more)

Baadhi ya viongozi wa kisiasa kutoka kaunti ya Nyamira wamemrai Rais William Ruto kuharakisha kutekelezwa kwa mfumo wa elimu ya bure nchini, ili kuwawezesha wanafunzi kutoka jamii masikini kupata elimu ya juu.

Share: