Kenyans Live

Familia ya Jeremiah Nyaga yamtaka Mbarire kuipa barabara jina la waziri huyo wa zamani

Description (show more)

Familia ya waziri wa zamani marehemu Jeremiah Nyaga imemtaka Gavana wa Embu Cecily Mbarire kutambua mchango wake kwa kuipa barabara mojo katika kaunti hiyo jina lake.

Share: