Kenyans Live

Harambee Stars yatoka sare na Eritrea

Description (show more)

Timu ya taifa ya Kenya, Harambee Stars, imeandikisha sare ya bao moja dhidi ya Eritrea katika mchezo wa kuwania kufuzu AFCON 2027 uliochezwa katika uwanja wa Nyayo alasiri ya leo.

Share: