Murkomen asema hakuna fidia kwa mifugo waliouawa katika operesheni ya Waso
Description (show more)
Waziri wa Usalama wa Kitaifa Kipchumba Murkomen amesema hakuna fidia itakayotolewa kwa familia zilizopoteza mifugo wao wakati wa operesheni ya maafisa wa usalama katika eneo la Waso, Kaunti ya Samburu. Akizungumza alipofika Bungeni leo, Murkomen pia amekanusha madai kwamba zaidi ya mifugo 700 waliuawa katika operesheni hiyo, huku akiwasihi wanasiasa kukoma kuwachochea wakazi kuhusu suala hilo.
Related Videos
More from Citizen TV Kenya
3:56Mahakama Yasema Simama, Lakini Ujenzi Waendelea Kwenye Ardhi ya Moi
· 8 views
57:45
1:51Gvaana Johnson Sakaja: Ok abiro yako gir ng'ato; abiro ei ODM timo dwach Baba ma en ling'any mare
· 12 views
3:20Mahakama Yasema Simama, Lakini Ujenzi Waendelea Kwenye Ardhi ya Moi
· 39 views
2:10Gavana Johnson Sakaja:Ne ok amanyo Baba kinde mane idwa thicha e apis; Baba ema ne omanya
· 20 views
1:11Gavana Johnson Sakaja: Baba ne ok ogero ODM mondo orum nikech dwach josiasa moko
· 10 views
1:17Gavana Johnson Sakaja:Wan ei ot achiel gi UDA-ODM; Oburu nomor neno ni aduogo dala
· 31 views
1:30Gavana Johnson Sakaja:Thoth jo ODM ne olutona ombulu e yiero ma 2022; an gi johera mag ODM
· 12 views
