Kenyans Live

Watu watatu waaga dunia baada ya kunywa pombe haramu Kitengela

Description (show more)

Licha ya kampeni mpya ya mapambano dhidi ya uuzaji wa pombe haramu kwenye maeneo mengi nchini, pombe hii inaendelea kusababisha vifo. Leo huzuni imeukumba mtaa wa Noonkpoir ulioko mjini Kitengela kufuatia vifo vya yamkini watu watatu wanaodaiwa kutumia pombe hiyo. Wengine wawili wanasemekana kuwa katika hali mahututi, hali hiyo ikiziacha familia kwenye njia panda na wakazi wakitaka hatua za kisheria kuchukuliwa dhidi ya wafanyabiashara wanaohusika na uuzaji wa pombe hiyo. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive

Share: