Kenyans Live

Baraza la wazee wa jamii ya Abaluhya kaunti ya Uasin Gishu watoa wito wa amani

Description (show more)

Baraza la wazee wa jamii ya Abaluhya kaunti ya Uasin Gishu, limeanzisha kampeni inayowalenga vijana waliohitimu umri wa miaka kumi na nane kujisajili kuwa wapiga kura kabla ya uchaguzi mkuu wa mwaka ujao.

Share: