Kenyans Live

Jamii yahimizwa kutowatenga watu wanaougua kifafa

Description (show more)

Wahudumu wa afya ya nyanjani katika kaunti ya Samburu wamepokea mafunzo kuhusu ugonjwa wa kifafa katika juhudi za kukomesha unyanyapaa miongoni mwa waathiriwa wa ugonjwa huo.

Share: