Kenyans Live

Uteuzi wa machifu wazua mzozo Cherangany

Description (show more)

Baadhi ya wakazi na viongozi wa Cherangany, Kaunti ya Trans Nzoia, wamelalamikia hali ya upendeleo katika uteuzi wa maafisa tisa wa utawala, wakiwemo machifu na manaibu wao, wakidai kuwa nafasi hizo zimetawaliwa na jamii moja katika eneo hilo.

Share: