Kenyans Live

Chifu mstaafu wa Mandera alituzwa sikukuu ya Mashujaa iliyopita

Description (show more)

Chifu mkuu mstaafu Issak Adawa Edo almaarufu s Chief Borow alikuwa miongoni mwa mashujaa 264 waliotuzwa wakati wa sherehe za mwaka huu za kuadhimisha siku kuu ya Mashujaa.Mtumishi huyo wa umaa anayesifiwa na mtetezi wa amani katika kaunti ndogo ya Elwake kaunti ya Manera alituzwa kwa jukumu lake la kupunguza taharuki katika kaunti hiyo ambayo imekuwa ikilengwa na makundi ya kigaidi.Anaangazia utenda kazi wake kama mtumishi wa umma katika eneo ambalo limekumbwa na mizozo ya mara kwa mara na jukumu lake la kuleta mshikamano. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive

Share: