Kenyans Live

Ombi la mahakama laitaka usalama kuchunguza mashambulizi dhidi ya viongozi

Description (show more)

Ombi limewasilishwa mahakamani likitaka vitengo vya usalama nchini kuchunguza visa vyote vya mashambulizi dhidi ya viongozi wa upinzani, makundi ya kutetea haki na mashirika ya kidini. Wanaharakati waliowasilisha ombi hilo wameonya kuwa siasa za uhuni zinaweza kuwa na madhara makubwa iwapo hazitadhibitiwa kabla ya uchaguzi mkuu.

Share: