Salama: Kwa nini eneo hili limegeuka kuwa ngome ya mauti?
Description (show more)
Siku mbili baada ya watu 17 kufariki katika eneo la Mlima Kiu, Salama, kaunti ya Makueni, kwenye barabara kuu ya Nairobi-Mombasa, mwanahabari wetu Serfine Ouma alisafiri kutoka Nairobi hadi Salama. Lengo lilikuwa kukupa taswira halisi ya kile kinachochangia ajali kushuhudiwa mara kwa mara katika eneo hilo, na kubaini ni kwa nini Salama, licha ya jina lake, limegeuka kuwa ngome ya mauti.
Related Videos
More from Citizen TV Kenya
1:16:18🔴LIVE || TV47 Saa Tano
· 811 views
22:31LIVE: Kurunzi Mashinani naye Sheila Yogo II 3rd November 2026 II www.kbc.co.ke
· 504 views
1:01:45LIVE: Lunchtime News with Ben Troy Njue II 3rd November 2026 II www.kbc.co.ke
· 1.1K views
30:11🔴LIVE || TV47 News @1pm with Wakio Mzenge
· 1.1K views
20:42LIVE: Tamrini naye Sheila Yogo II 3rd November 2026 II www.kbc.co.ke
· 454 views
1:01:11LIVE: Prime Edition with Muchuma Odim II 3rd November 2026 II www.kbc.co.ke
· 1.9K views
51:44🔴LIVE || TV47 PRIME @ 9PM || TV47KENYA
· 4.6K views
11:55:00LIVE | #RAMOGITVLIVE
· 24.8K views
