Kenyans Live

Kamati ya kitaifa ya olimpiki ya kenya (noc-k) yaandaa warsha ya siku tatu kuhusu afya ya wachezaji

Description (show more)

Kamati ya kitaifa ya olimpiki ya kenya (noc-k) inaendelea na kongamano lake la siku tatu kuhusu afya ya wanamichezo, likiwaleta pamoja wataalamu wa matibabu, makocha, wasimamizi wa michezo na wadau wengine muhimu kwa lengo la kuimarisha mifumo ya afya na ustawi wa wanamichezo nchini kenya.

Share: