Mgawanyiko wa kisiasa wajitokeza mazishini Bumula huku Sifuna akipata uungwaji mkono
Description (show more)
Tofauti za kisiasa kati ya viongozi wanaomuunga mkono Rais William Ruto na wale wanaomuunga mkono kinara wa chama cha The Equitable, Edwin Sifuna, zimejitokeza wakati wa hafla ya mazishi katika eneo bunge la Bumula. Viongozi wa upinzani wamesisitiza kumuunga mkono Sifuna, wakidai kuwa serikali ya Rais Ruto imeshindwa kutekeleza ahadi zake kwa wananchi. Hata hivyo, viongozi wanaounga mkono serikali wameshikilia kuwa eneo la Magharibi mwa Kenya litafaidika zaidi kwa kuendelea kushirikiana na serikali. Katika eneo bunge la Kiharu, Mbunge Ndindi Nyoro ameendelea kumkosoa Rais Ruto, akidai kuwa anawapotosha Wakenya kuhusu uuzaji wa hisa za kampuni ya Kenya Pipeline.
Related Videos
More from Citizen TV Kenya
23:56🔴LIVE || TV47 News @ 1 P.M With Martin Githinji
· 795 views
34:38LIVE:Lunchtime News with Giverson Maina II 1st November 2026 II www.kbc.co.ke
· 943 views
1:24:28LIVE: Sunday Service from All Saints Cathedral II 1st November 2026 II www.kbc.co.ke
· 1.1K views
1:44:23Jubilee presidential hopeful Fred Matiang'i outlines his road to State House
· 5.8K views
49:45SUNDAY LIVE | IN THE HOUSE OF DCP | PART 2
· 13.9K views
4:12LIVE: Sunday Express II 1st November 2026 II www.kbc.co.ke
· 199 views
4:44Rivers in Athi basin bear brunt of pollution asindustrial waste is discharged into rivers
· 913 views
2:17Kenyan truck drivers decry harassment at border points over Ebola concerns
· 1.2K views
