Kenyans Live

Viongozi Garissa wahimiza wakazi kujiandikisha kwa wingi kama wapiga kura

Description (show more)

Baadhi ya viongozi kutoka kaunti ya Garissa wanmehimiza wenyeji kuchukua vitambulisho na kujiandikisha kwa wingi kuwa wapiga kura ili kushiriki kwenye uchaguzi mkuu ujao.

Share: