Kaunti zaanza maandalizi ya kukabiliana na Ebola
282 viewsYouTube
Description (show more)
Serikali za kaunti mbalimbali zimeanza kuweka mikakati ya kukabiliana na ugonjwa wa Ebola kwa kuweka tayari maeneo ya kuwatenga wagonjwa kwa matibabu. Kaunti ya Kisii imetenga takriban maeneo 11 na magari ya kuwabeba watakaotangamana na wagonjwa wa ebola. Chrispine Otieno anaangazia maandalizi ya kaunti huku wananchi kutoka maeneo mbalimbali wakiendelea kuelezea wasiwasi kuhusu mikakati inayowekwa.
Related Videos
More from Citizen TV Kenya
3:56Mahakama Yasema Simama, Lakini Ujenzi Waendelea Kwenye Ardhi ya Moi
· 8 views
57:45
1:51Gvaana Johnson Sakaja: Ok abiro yako gir ng'ato; abiro ei ODM timo dwach Baba ma en ling'any mare
· 12 views
3:20Mahakama Yasema Simama, Lakini Ujenzi Waendelea Kwenye Ardhi ya Moi
· 39 views
2:10Gavana Johnson Sakaja:Ne ok amanyo Baba kinde mane idwa thicha e apis; Baba ema ne omanya
· 20 views
1:11Gavana Johnson Sakaja: Baba ne ok ogero ODM mondo orum nikech dwach josiasa moko
· 10 views
1:17Gavana Johnson Sakaja:Wan ei ot achiel gi UDA-ODM; Oburu nomor neno ni aduogo dala
· 31 views
1:30Gavana Johnson Sakaja:Thoth jo ODM ne olutona ombulu e yiero ma 2022; an gi johera mag ODM
· 12 views
