Kenyans Live

Viongozi wa Linda Mwananchi wamtaka rais Ruto kuweka wazi mkataba wa Dangote

Description (show more)

Viongozi wa Linda Mwananchi kutoka Nairobi wanamtaka Rais William Ruto aweke hadharani mkataba wa Kiwanda cha Kusafisha Mafuta cha Dangote ndani ya siku 14 zijazo, kwa ajili ya uwajibikaji.

Share: