Kenyans Live

Huduma za upangaji uzazi zaongezeka kaunti ya Kilifi

Description (show more)

Idadi ya wanawake wanaopokea huduma za upangaji uzazi imeongezeka katika kaunti ya Kilifi hadi asilimia 47 katika njia zote 4 za upangaji uzazi ikiwemo njia ya kitamaduni huku asilimia 44 ikiwa wale wanaotumia njia za kisasa.

Share: