Kenyans Live

Wadau wa afya Kaunti ya Bungoma waibua wasiwasi kuhusu ongezeko la vifo vya wajawazito

Description (show more)

Wadau wa afya katika Kaunti ya Bungoma wameibua wasiwasi kuhusu ongezeko la vifo vya kina mama vinavyohusishwa na kuvuja damu nyingi baada ya kujifungua.

Share: