Kenyans Live

Gavana wa kaunti ya Kilifi Gideon Mung'aro avunja kimya chake kuhusiana madeni yanayodaiwa kaunti

Description (show more)

Gavana wa kaunti ya Kilifi Gideon Mung'aro hatimae amevunja kimya chake kuhusiana madeni yanayodaiwa kaunti hiyo akisema baadhi walishirikiana na mtangulizi wake kupora mali ya umma.

Share: