Kenyans Live

Wanafunzi milioni 2.5 waanza mitihani ya KPSEA na KJSEA

Description (show more)

Zaidi ya wanafunzi milioni mbili unusu wameanza mitihani ya kitaifa ya KPSEA na KJSEA mapema leo. Waziri wa Elimu Julius Migos amewahakikishia wazazi na watahiniwa kuwa serikali imeweka mikakati ya kuhakikisha mitihani hiyo inafanyika kwa njia huru, haki na uwazi. Serfine Achieng Ouma ana kina cha taarifa hii.

Share: